Adhabu ya mwizi.....

mbona hyo ni adhabu ndogo sana mi nilijua kumchomeka mwamvuli kwenye makalio uje kutokdd kichwan maana wanavyorudishana nyuma hawa wajinga ni balaa
 
Mbaya sana, waliomfanyia hivyo wachukuliwe hatua za sheria.

Hawawezi kujichukulia sheria mikononi mwao, mwizi anahukumiwa kwa sheria za nchi zilizopo na si kumtesa hivyo.
 
Nimeibiwa sana tu, lakini siamini kama kumtesa binaadam mwenzio namna hiyo ndiyo inalipa thamani ya kuibiwa.

Sisi mtaani kwetu hakuna vibaka maana tunawapa adhabu ndogo ya kuwachoma moto hadi kuwa majivu wapatikanapo na makosa ya ukwapuaji...
 
Sisi mtaani kwetu hakuna vibaka maana tunawapa adhabu ndogo ya kuwachoma moto hadi kuwa majivu wapatikanapo na makosa ya ukwapuaji...

Ngojeni siku mkishikwa ndiyo mtajuwa ni nini maisha ya binadam.
 
Yaani minavyochukia wezi apo alipo ningemmwagia na upup*nione angejikunajee
 
Ngojeni siku mkishikwa ndiyo mtajuwa ni nini maisha ya binadam.

Mtu ataitwa tu binadamu ikiwa anajua misingi ya ubinadamu na anaifuata....kinyume cha hapo ni kumfanya somo ili wengine waishi kibinadamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…