Adhabu ya kifo kwa mbakaji

Aah kadudu kakisima umekwisha
 
Kama ni mimi nafumba macho mwanzo mwisho
 
Yaani wanaume tulivyo mi najua itasimama tu. Hii haina tofauti na kutembea na malaya toka uwanja wa fisi bila kondomu. Inaitwa mbizi ya kifo
 
thubutuu kisimame hapo ubongo unawaza kifo tu huyo mwanamke anamuona kama mti tu tena wenye mchwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…