ADHABU YA CHIKUPE

ADHABU YA CHIKUPE

saimon amos

Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
16
Reaction score
7
-Kamati ya Nidhamu ya shirikisho la soka Tanzania (TFF) imesema Beki wa kati wa klabu ya Yanga, Andrew Vicent Dante hana kesi ya kujibu kwenye kamati hiyo kuhusu kumpiga kichwa mwamuzi wa mchezo kati ya Tz Prisons dhidi ya Yanga uliofanyika December 03, 2018 katika dimba la Sokoine Mbeya.
:
-Kamati imesema imeshindwa kumfungia Dante kutokana na ushahidi iliowasilishwa kwenye kamati kutojitosheleza na sasa Beki huyo hana hatia yoyote. Dante ambaye alikuwa majeruhi amerejea kwenye mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Mwadui FC ya Shinyanga mchezo ambao utafanyika kesho majira ya saa 1:00 usiku katika dimba la taifa Dar.
yangawhatsapp_makaomakuu-20190114-0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom