Adhabu saba zinazowakabili mawaziri walioshindwa kurejesha fomu za kwa wakati

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,694
149,917
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la leo,adhabu zinazotakiwa kutolewa kwa mawaziri ambao hawakurudisha fomu kwenye Tume ya Maadili kwa wakati, ni pamoja na;

(a)Kuonywa na kupewa tahadhari
(b)Kushushwa cheo
(C)Kusimamishwa kazi
(d)Kufukuzwa kazi
(e)Kushauriwa kujiuzulu
(f)Kuhimizwa kuchukuliwa hatua kwa kiongozi huyo, n.k.

Chanzo:Mwananchi online

Je,hawa mawaziri wamepewa hata onyo la maandishi?!
 
Back
Top Bottom