suluhisho sio sabuni bali diet yako mbovu mkuu, kula matunda na maji mengi ushushe gogo linalonuka kwa mbaliii bila kukukeraMambo vipi,
Uzi huu ni spesho kwa waliopanga au wenye nyumba za masta tu nikimaanisha choo kipo kwenye chumba cha kulala, Hivi karibuni nimehama kutoka chumba kimoja chenye choo cha nje na kuhamia chumba cha kodi elfu50 choo cha ndani.
Sasa tatizo kila nikikata gogo harufu inarudi chumbani, chumba chote kinakuwa puyaaaa daaaah nakereka sana kama kuna sabauni au Air fresh nzuri ya chooni naomba mnielekeze kukata hii harufu.
Hii ndio solution sasaMkuu, hapa mimi nimekuelewa vizuri sana.
Lakini nina mashaka kama mleta mada atakuelewa. Anyway, nafikiri mleta mada anatakiwa alete fundi ili abadilishe discharge line kutoka ya kawaida na awekewe ile (P-Trap) yenye kufanana na shingo ya bata.
Ile pipe ya shingo ya bata inafaa zaidi kwasababu itaweza kuzuwia hewa inayo rudi ndani kwa kubakiza masalia ya maji kidogo yatakayo tuama na kufanya mgandamizo wa hewa isirudi ndani
Utakuwa hujui kuflash uchafu wako.Halafu mavi yako yatakuwa yananuka balaa.Nilishaachana na huo upuuzi wa kulala na choo
Maelezo mazuri kabisa haya.Wakati mwengine mambo kama haya unatafuta hata fundi hapo mtaani unamshirikisha ili akupe njia ya kusawazisha baadhi ya mambo otherwise utadhalilika kama inavyotokea hapa.
Siyo kwamba humwagi maji mengi uchafu ukaenda, hiyo hali inatokana na mgandamizo wa hewa kwenye shimo kubwa nje so inakosekana njia ya kupumulia, obviously tatizo lipo kwenye line ya kutoka chooni (humo ndani) kwenda kwenye septic tank hawakuweka bomba mbadala kuzuia harufu isirudi ndani, fanya hivi.
Kama pale kwenye shimo kubwa nje imewekwa bomba moja ita fundi akuwekee lingine hapo lilipotokea bomba la kusafirisha uchafu (namaanisha hapo karibu kabisa na ukuta wa choo chako cha ndani) hiyo hali itaisha.
Picha ya harufu ya kimba la Mtu mzima au siyo?!!.Weka picha tuone
Nyumba yangu moja ina vyoo 7 ndani.. lakini hakuna harufu kabisa hata kidogo. Tanzania wanajenga kiholela sana. Hio harufu ni septic gases. Ujenzi mzuri lazima kila choo kiwe na vent ya kupeleka hizo gesi juu na mbali. Pia vyoo vya kuchuchumaa havifai ndani sababu havina p trap na watu hawaziweki. P trap ni muhimu kukusanya gesi zisitoke hewani kwa ndani.Mambo vipi,
Uzi huu ni spesho kwa waliopanga au wenye nyumba za masta tu nikimaanisha choo kipo kwenye chumba cha kulala, Hivi karibuni nimehama kutoka chumba kimoja chenye choo cha nje na kuhamia chumba cha kodi elfu50 choo cha ndani.
Sasa tatizo kila nikikata gogo harufu inarudi chumbani, chumba chote kinakuwa puyaaaa daaaah nakereka sana kama kuna sabauni au Air fresh nzuri ya chooni naomba mnielekeze kukata hii harufu.
Chumba elfu 50 kina choo ndan! Wapi huko?Mambo vipi,
Uzi huu ni spesho kwa waliopanga au wenye nyumba za masta tu nikimaanisha choo kipo kwenye chumba cha kulala, Hivi karibuni nimehama kutoka chumba kimoja chenye choo cha nje na kuhamia chumba cha kodi elfu50 choo cha ndani.
Sasa tatizo kila nikikata gogo harufu inarudi chumbani, chumba chote kinakuwa puyaaaa daaaah nakereka sana kama kuna sabauni au Air fresh nzuri ya chooni naomba mnielekeze kukata hii harufu.
Kula kabeji au mayai unywe maji ulete mrejeshoharufu mbaya inaashiria ulaji wa hovyo...unakula ugoro?
kunywa maji ya kutosha daily; na believe me...kimba litatoka safi na harufu ya kawaida
Nadhani ndivyo alivyo maanisha nami nilivyo mwelewa... (Fresh smell ya kimba kusambaa chumbani)... Ahakikishe anafunga mlango wa aluminium wa kwenda chooni kwani huwa na rubber zinazo ziba vizuri kutorusu hewa kupita tofauti na milango ya mbao.... Pia setting za nyumba tujengapo kutokana na uelekeo wa upepo .. Unakuta position ya dirisha la chooni ndo linalopokea upepoNimewaelewa vizuri sana wakuu.
Isipokua me naona kama nimemuelewa mtoa mada tofauti.
Tatizo lake sio harufu kutoka kwenye shimo kurudi ndani, maana kwa ushauri wenu hapo juu, mmemshauri kutatua tatizo la harufu kutoka septic tank kurudi ndani.
Yeye anatatizo la harufu kutoka kwenye uchafu fresh kutoka tumboni ukiwa kwenye sink, kabla yakwenda kwenye septic tank. Kawaida hii harufu haitakiwi kurudi chumbani, inatakiwa kuisha ikitokea kwenye ventilation za chooni
Amesema hivi..
Kila akitoka kukata gogo harufu inarudi chumbani, sio harufu yakutoka kwenye shimo, ni harufu ya kinyesi kipya kinachokua kwenye sink, kabla hakijaenda kwenye shimo
Mwaga maji mengi halafu ukiwa una mega gogo funga mlangoMambo vipi,