Pamoja na kuacha dirisha la chooni wazi muda woteTumia maji mengi Ku flash choo na pia nunua sabuni za chooni zinatosha tuu , Kama unaishi sehem maji ni ya shida, hama hapo haraka
Mkuu, hapa mimi nimekuelewa vizuri sana.Wakati mwengine mambo kama haya unatafuta hata fundi hapo mtaani unamshirikisha ili akupe njia ya kusawazisha baadhi ya mambo otherwise utadhalilika kama inavyotokea hapa...
Ushauri mzuri kabisa huu. Pia fundi anaweza akaangalia kama kwenye sink la choo hicho waliweka P trap inayosaidia kubakiza maji unayotumia kuflash choo. Hayo maji hubaki hapo ili kuzuia harufu toka shimoni (septic tank) kuja ndani. Kama hiyo p trap ipo basi aiangalie kama iliwekwa vizuri.Wakati mwengine mambo kama haya unatafuta hata fundi hapo mtaani unamshirikisha ili akupe njia ya kusawazisha baadhi ya mambo otherwise utadhalilika kama inavyotokea hapa...
Correct, hiyo shingo ya bata huitwa "P trap"Mkuu, hapa mimi nimekuelewa vizuri sana.
Lakini nina mashaka kama mleta mada atakuelewa.....
Anyway, nafikiri mleta mada anatakiwa alete fundi ili abadilishe discharge leni kutoka ya kawaida na awekewe ile yenye kufanana na shingo ya bata.
Ile pipe ya shingo ya bata inafaa zaidi kwasababu itaweza kuzuwia hewa inayo rudi ndani kwa kubakiza masalia ya maji kidogo yatakayo tuama na kufanya mgandamizo wa hewa isirudi ndani
Kuna vumbi la kongo ilo linakata shombo la papuchi chafuMambo vipi,
Uzi huu ni spesho kwa waliopanga au wenye nyumba za masta tu nikimaanisha choo kipo kweny chumba cha kulala,,,
Hivi karibuni nimeama kutoka chumba kimoja chenye choo cha nje na kuamia chumba cha kodi elfu50 choo cha ndani,,,
Sasa tatzo kila nikikata gogo harufu inarud chumban chumba chote kinakuwa puyaaaa daaaah nakereka sana kama kuna sabauni au Air fresh nzur ya chooni naomba mnielekeze kukata hii harufu,,,
harufu mbaya inaashiria ulaji wa hovyo...unakula ugoro?
kunywa maji ya kutosha daily; na believe me...kimba litatoka safi na harufu ya kawaida