LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 20,006 Reaction score 37,920 Jan 14, 2015 #2 mshana jr said: View attachment 218510 Click to expand... Kubwa kuliko zote ilikuwa ni kukaa hewani
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,120 Jan 14, 2015 Thread starter #3 LIKUD said: Kubwa kuliko zote ilikuwa ni kukaa hewani Click to expand... Mmh LIKUD umeniacha ubungo ikoje hiyo? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
LIKUD said: Kubwa kuliko zote ilikuwa ni kukaa hewani Click to expand... Mmh LIKUD umeniacha ubungo ikoje hiyo?
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,989 Reaction score 5,510 Jan 14, 2015 #4 mshana jr said: View attachment 218510 Click to expand... Ila kuna walimu wana roho mbaya, hawana huruma hata hv kweli.mtoto wake anaweza kumpa adhabu kama hii, nashukuru shuleni kwetu haikuwepo
mshana jr said: View attachment 218510 Click to expand... Ila kuna walimu wana roho mbaya, hawana huruma hata hv kweli.mtoto wake anaweza kumpa adhabu kama hii, nashukuru shuleni kwetu haikuwepo
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 20,006 Reaction score 37,920 Jan 14, 2015 #5 mshana jr said: Mmh LIKUD umeniacha ubungo ikoje hiyo? Click to expand... Unaambiwa ukae hewani kaka, ni nouma
mshana jr said: Mmh LIKUD umeniacha ubungo ikoje hiyo? Click to expand... Unaambiwa ukae hewani kaka, ni nouma
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,120 Jan 14, 2015 Thread starter #6 LIKUD said: Unaambiwa ukae hewani kaka, ni nouma Click to expand... Hahahahaaaa hiyo ni corporal punishment
LIKUD said: Unaambiwa ukae hewani kaka, ni nouma Click to expand... Hahahahaaaa hiyo ni corporal punishment
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Jan 14, 2015 #7 Kuna ile ya kuweka mawe mkononi kisha uinue mikono juu daaa chozi lazima litoke ....khaaaaa basi tu
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Jan 14, 2015 #8 Mwalimu ameketi anaangalia jinsi anavyowasulubu watoto wa watu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,120 Jan 14, 2015 Thread starter #9 bysange said: Kuna ile ya kuweka mawe mkononi kisha uinue mikono juu daaa chozi lazima litoke ....khaaaaa basi tu Click to expand... HARUFU said: Mwalimu ameketi anaangalia jinsi anavyowasulubu watoto wa watu Click to expand... Walimu dizaini hii tuliwachapa sana Magamba secondary
bysange said: Kuna ile ya kuweka mawe mkononi kisha uinue mikono juu daaa chozi lazima litoke ....khaaaaa basi tu Click to expand... HARUFU said: Mwalimu ameketi anaangalia jinsi anavyowasulubu watoto wa watu Click to expand... Walimu dizaini hii tuliwachapa sana Magamba secondary
Wapoti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2013 Posts 2,824 Reaction score 1,100 Jan 14, 2015 #10 kiboko ni ile ya kushika masikio yaani tulikuwa tunatapika
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,412 Jan 14, 2015 #11 naiman64 said: Ila kuna walimu wana roho mbaya, hawana huruma hata hv kweli.mtoto wake anaweza kumpa adhabu kama hii, nashukuru shuleni kwetu haikuwepo Click to expand... Namkumbuka mwl shelutete usagara ilikuwa magoti na deski unabeba kama hilo tofali.
naiman64 said: Ila kuna walimu wana roho mbaya, hawana huruma hata hv kweli.mtoto wake anaweza kumpa adhabu kama hii, nashukuru shuleni kwetu haikuwepo Click to expand... Namkumbuka mwl shelutete usagara ilikuwa magoti na deski unabeba kama hilo tofali.
Wapoti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2013 Posts 2,824 Reaction score 1,100 Jan 14, 2015 #12 MANI said: Namkumbuka mwl shelutete usagara ilikuwa magoti na deski unabeba kama hilo tofali. Click to expand... mh! mbona hiyo kali deski lilivyo kubwa anastahili kushtakiwa kwenye mahakama wanazohukumiwa warandwa kwa mauaji
MANI said: Namkumbuka mwl shelutete usagara ilikuwa magoti na deski unabeba kama hilo tofali. Click to expand... mh! mbona hiyo kali deski lilivyo kubwa anastahili kushtakiwa kwenye mahakama wanazohukumiwa warandwa kwa mauaji