Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,957 Oct 18, 2015 #1 mimi ninazikumbuka hii Adhabu mnamo mwaka 1974 nipo Shule ya Msingi hapo kazi kweli nilikuwa sipendi kweli nipewe Adhabu hii na Mwalimu wangu wa Darasa. Je wewe Mwenzangu unakumbuka hii adhabu ulipewa mwaka gani? Attachments Adhabu za shule.jpg 46.4 KB · Views: 135
mimi ninazikumbuka hii Adhabu mnamo mwaka 1974 nipo Shule ya Msingi hapo kazi kweli nilikuwa sipendi kweli nipewe Adhabu hii na Mwalimu wangu wa Darasa. Je wewe Mwenzangu unakumbuka hii adhabu ulipewa mwaka gani?
kandukamo1 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 1,059 Reaction score 703 Oct 18, 2015 #2 Hii napendelea sana kuwapatia vijana wangu wa Upili, hasa wale watukutu.