K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,943 Oct 1, 2012 #1 adhabu kama hii ingetolewa katika shuke zetu watoto wote wabgekimbia kusoma Attachments adhabu.jpg 50.3 KB · Views: 178
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 2,042 Reaction score 604 Oct 1, 2012 #2 huyo mwenye piki piki hata hivyo akili zake hazipo sawa sawa, ndio zile za masaburini.
N Nyakipambo JF-Expert Member Joined Nov 10, 2011 Posts 435 Reaction score 141 Oct 1, 2012 #3 Hiyo siyo adhabu ni mazoezi ya viungo mkuu! Ni kama sisi tulivyokuwa tunaambia mkono mbele, juu, chini, kunja n.k wakati ule tuko shule ya msingi Mtakuja!
Hiyo siyo adhabu ni mazoezi ya viungo mkuu! Ni kama sisi tulivyokuwa tunaambia mkono mbele, juu, chini, kunja n.k wakati ule tuko shule ya msingi Mtakuja!