Chukua hatuaaYani namaliza kusoma hii threads Tu.
Gari linapita Njee la Matangazooo kibaya zaidii limesimama Barazani kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unakosa point ya kuchangia ni bora uwe msomaji. Sio lazima uandike utumbo.dawasco,TRA NA WENGINEO WOTE HUWA WANA PITA KUFANYA HIYO P.A VUMILIENI TU KAMA MNAONA GOZIGOZI NENDENI MKAISHI MASAKI
OVA
Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana kuwa ni chanzo cha mapato ya Serikali. Lakini Serikali hiyo hiyo inavyanzo vingi mno vya mapato kushinda kutumia njia hii ambayo kwanza ni usumbufu kwa wananchi na la pili hakuna kipato significant kinachopatikana hapo kiasi kwamba Serikali isisjali wananchi wake.matangazo haya ni moja vyanzo vya mapato kwa serikali husika,wao ndio wanaotoa vibali na vibali hivi vinakuja na sheria zake kama ;muda wa matangazo,eneo lengwa,na kikubwa zaidi kiwango cha sauti ya matangazo yenyewe ni muhimu kiwe ndani kisheria,ila kwa sababu tunaishi in a shithole country kila mtu anajifanyia analotaka,na mkuu hapo juu kuhusu matangazo ya sanitations pads nimeshindwa kabisa kukuelewa,tatizo ni nini kuona pad?na please mkuu anza kuchangia hizi sanitation pads kwa dada zetu na mama zetu.
Hayo yote ni makosa ambayo hayapaswi kufanyika mitaani. Yafanywe uwanjani au Mahala maalum bila ya kuwa kikwazo kwa wananchi.Jitahidi tu kuzoea mkuu. Vuta picha Mungu akijalia uzima 2020 wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani hali itakuwaje ya hayo matangazo!!!
nakubaliana nawe mkuu,tatizo hapa ni utekelezaji mbovu,sharia zipo wazi kwani zinaelezea muda wa tangazo,eneo lengwa,na kipimo cha sauti wakati tangazo linapita mtaani,(na hii inahusu vilevile kumbi za starehe zilizo kwenye makazi).Yawezekana kuwa ni chanzo cha mapato ya Serikali. Lakini Serikali hiyo hiyo inavyanzo vingi mno vya mapato kushinda kutumia njia hii ambayo kwanza ni usumbufu kwa wananchi na la pili hakuna kipato significant kinachopatikana hapo kiasi kwamba Serikali isisjali wananchi wake.
Kama tukitazama kwa mtazamo wa mapato ya Serikali basi wangehalalisha ulimaji wa Mirungi haidaru na Kilimanjaro kwani inakipato kikubwa kwa Taifa kushinda hayo matangazo. Kama vyanzo vyote vya mapato ya Serikali haikutosheleza mahitaji basi hayo makelele ya maspika hayatasaidia chochote zaidi ya kuwabughudhi wananchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha ajabu ni kwamba kama hilo linaeleweka iweje hawa watu hawachukuliwi hatua wakati tunapolalamikia ofisi za Serikali za mitaa?? Au hili jambo haliwahusu wao??nakubaliana nawe mkuu,tatizo hapa ni utekelezaji mbovu,sharia zipo wazi kwani zinaelezea muda wa tangazo,eneo lengwa,na kipimo cha sauti wakati tangazo linapita mtaani,(na hii inahusu vilevile kumbi za starehe zilizo kwenye makazi).