Huyo jamaa ni X convict, akili zake ni za uhalifu
Aden Rage = AL Shabab > = Kinana
Mkama mtakumbuka RAGE
aliwahi kukaririwa na TV fulani week kadhaa zilizopita akisema kwamba
kocha wao cokvic aende tu kwao SERBIA na kwamba awape contact zake
watamlipa pesa zake kwa njia ya bank eti wanabanywa na sheria kulipa
malipo zaidi ya $ 10,000 , kumbe zile zilikuwa fix zake tu.
Mbona tumeona kwenye vyombo vya habari Malikia wa nyuki kamlipa mzungu
wa watu pesa zake powa kabisa , hiyo sheria imeenda wapi? Tatizo la RAGE
kujifanya eti ni mwana sheria sijui na Tundu Lissu tumwiteje, Sasa
Mzungu kalipwa ametustiri aibu wana SIMBA
RAGE HUYU JAMANI Mbabaishaji kweli.
Tatizo simba inahistoria ya
kuongozwa na wahuni wezi wauza unga wezi wa shaba matapeli kama wambura
hata mafanikio yake na kihunihuni tuu.fatilia viongozi wa simba kuanzia
huyo rage na wengine wako magereza.
Mbona tumeona kwenye vyombo vya habari Malikia wa nyuki kamlipa mzungu wa watu pesa zake powa kabisa ,
Hahahahahaha!Mkama mtakumbuka RAGE aliwahi kukaririwa na TV fulani week kadhaa zilizopita akisema kwamba kocha wao cokvic aende tu kwao SERBIA na kwamba awape contact zake watamlipa pesa zake kwa njia ya bank eti wanabanywa na sheria kulipa malipo zaidi ya $ 10,000 , kumbe zile zilikuwa fix zake tu.
Mbona tumeona kwenye vyombo vya habari Malikia wa nyuki kamlipa mzungu wa watu pesa zake powa kabisa , hiyo sheria imeenda wapi? Tatizo la RAGE kujifanya eti ni mwana sheria sijui na Tundu Lissu tumwiteje, Sasa Mzungu kalipwa ametustiri aibu wana SIMBA
RAGE HUYU JAMANI Mbabaishaji kweli.
U mean mtoto wa mkulima ee!Vipi mumeshaandaa mpango wa kumkutanisha na Mfalme wa Nyuki? Yule jamaa wa kule Mpanda/Katavi..