ukiritimba wa vilabu vyetu vya soka kuongozwa na wazee kwa vile tu ni waanzilishi wa vilabu bila kuwa na vision ya soka la kisasa umeisha jana baada ya ismail aden rage kuibuka mshindi dhidi ya mpinzani wake mkuu hassan hasanoo.
simba kwisha. huyo rage ni tapeli wa maneno hana jipya simba
Kamdambili wakae mkao wa kula sasa....Ukiritimba wa vilabu vyetu vya soka kuongozwa na wazee kwa vile tu ni waanzilishi wa vilabu bila kuwa na vision ya soka la kisasa umeisha jana baada ya Ismail Aden Rage kuibuka mshindi dhidi ya mpinzani wake mkuu Hassan Hasanoo.
Ukiritimba wa vilabu vyetu vya soka kuongozwa na wazee kwa vile tu ni waanzilishi wa vilabu bila kuwa na vision ya soka la kisasa umeisha jana baada ya Ismail Aden Rage kuibuka mshindi dhidi ya mpinzani wake mkuu Hassan Hasanoo.
naona yale yale tu,
Rage amewahi kuwa kiongozi sehemu mbalimbali katika soka na bado aliacha matatizo kama ya hao walioondolewa
Hahahahah Rage aliharibu FAT akafungwa, akaenda Moro Utd kaishusha daraja, akawa anataka rudi TFF jamaa wakampiga panga leo Simba ...sidhani kama kuna jipya atakalowaletea wanamsimbazi zaidi ya migogoro na kufuja mali....jamani of all the people mnatapa na Rage?
Wakuu nimepokea ttarifa hizi kwa masikitiko makubwa; wazungu wanasema, if it aint broken, dont try to fix it!!!
unfortunately simba tumeruhusu nyag'au la michezo ambalo lilishawahi fungwa jela, kushusha daraja timu na kuharibu FAT kuwa kiongozi; tunachokiona hapa ni tabia yetu halisi ya kinafiki kumkubali mtu kama vile hakuna mtanzania anayeweza kuongoza soka badala ya huyu jamaa
MODS, UNGANISHENI HII NA LILE JUKWAA LETU TUKUFU LA WANASIMBA
Ukiritimba wa vilabu vyetu vya soka kuongozwa na wazee kwa vile tu ni waanzilishi wa vilabu bila kuwa na vision ya soka la kisasa umeisha jana baada ya Ismail Aden Rage kuibuka mshindi dhidi ya mpinzani wake mkuu Hassan Hasanoo.
hakuna mtakatifu katika uoungozi... tusihukumu mtu kwa historia.. tumhukumu kwa kiwango gani kageuza mapungufu yake kuwa mafanikio.. kwake na kwa jumuia anayoiongoza..