Aden Rage Mwenyekiti mpya Simba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aden Rage Mwenyekiti mpya Simba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Luteni, May 10, 2010.

 1. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ukiritimba wa vilabu vyetu vya soka kuongozwa na wazee kwa vile tu ni waanzilishi wa vilabu bila kuwa na vision ya soka la kisasa umeisha jana baada ya Ismail Aden Rage kuibuka mshindi dhidi ya mpinzani wake mkuu Hassan Hasanoo.
   
 2. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  huu ndio mwanzo wa mabadiliko tunayoyataka,.wazee vibandiko sasa basi inatosha,.tunataka mabadiliko.
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Old wine in a new bottle!
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,033
  Likes Received: 23,967
  Trophy Points: 280
  Kamdambili wakae mkao wa kula sasa....
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wazee ni muhimu kwenye kamati za ushindi!
   
 6. Mkosoaji

  Mkosoaji JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  naona yale yale tu,

  Rage amewahi kuwa kiongozi sehemu mbalimbali katika soka na bado aliacha matatizo kama ya hao walioondolewa
   
 7. Katibukata

  Katibukata Senior Member

  #7
  May 10, 2010
  Joined: Dec 27, 2007
  Messages: 183
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hongera Rage, kula vitu!! Ndo hicho ulichokuwa ukipigania. U r better than Hasanoo
   
 8. R

  Renegade JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,769
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  Hapa hakuna Jipya, Rage TFF Ilimshinda mpaka wakamfunga jela, tusubiri tuone!!!!!!!!
   
 9. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  So RAGE = Kijana?
  RAGE = Vision mpya?
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hahahahah Rage aliharibu FAT akafungwa, akaenda Moro Utd kaishusha daraja, akawa anataka rudi TFF jamaa wakampiga panga leo Simba ...sidhani kama kuna jipya atakalowaletea wanamsimbazi zaidi ya migogoro na kufuja mali....jamani of all the people mnatapa na Rage?
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wakuu nimepokea ttarifa hizi kwa masikitiko makubwa; wazungu wanasema, if it aint broken, dont try to fix it!!!

  unfortunately simba tumeruhusu nyag'au la michezo ambalo lilishawahi fungwa jela, kushusha daraja timu na kuharibu FAT kuwa kiongozi; tunachokiona hapa ni tabia yetu halisi ya kinafiki kumkubali mtu kama vile hakuna mtanzania anayeweza kuongoza soka badala ya huyu jamaa

  MODS, UNGANISHENI HII NA LILE JUKWAA LETU TUKUFU LA WANASIMBA
   
 12. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kamati gani ya ushindi unayoongelea ile ya wazee wa Bagamoyo au....
   
 13. Charles Mtekateka

  Charles Mtekateka Verified User

  #13
  May 10, 2010
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 310
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Alisema 2mpe cku 100 2taona mapinduz na pia 2mpime kwa kgezo cha kuleta mabadilko ndan ya mcmbaz, hongera, bt mmmmmh, mwenyekiti Rage lakn skendo zako doa! Hongera
   
 14. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  I think so.
   
 15. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hongera Mzee rage, mi ni kandambili lakini Rage namheshim huyo mzee atawasaidia maana keshajifunza jela si mchezo
   
 16. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  How can you put into power former failed FAT (now TFF) leader who was also jailed because of corruption? Next season Simba performance will go down for sure
   
 17. k

  kashwagala Senior Member

  #17
  May 10, 2010
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na kwani tuliambiwa kazi ni kuongoza vilabu na vyama vya mpira tu? hakuna kazi zingine za kufanya? au ndo strategy ya kugombea ubunge Tabora?
   
 18. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  Heri umesema wewe.........Eti kuna watu wanakaa na kujipongeza kumpata Rage kama chairman wa Simba............my foot....Poleni watani....bora hata ya Dalali lakini si Rage wala Wambura
   
 19. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #19
  May 10, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  hakuna mtakatifu katika uoungozi... tusihukumu mtu kwa historia.. tumhukumu kwa kiwango gani kageuza mapungufu yake kuwa mafanikio.. kwake na kwa jumuia anayoiongoza..
   
 20. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #20
  May 10, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  Rage hafai kuiongoza Simba bana............Kaiua Moro United huyu...alivokuwa FAT ndo usiseme....Bora hata ya Dalali......anyways,siombei mabaya....Fingers crossed
   
Loading...