Aden rage asimamishwa na kamati ya utendaji ya simba

Aden rage asimamishwa na kamati ya utendaji ya simba

Haliali

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2012
Posts
574
Reaction score
263
Taarifa zilizothibitishwa kutoka Katika klabu ya Simba ni kwamba kamati ya utendaji ya klabu hiyo imemsimamisha mwenyekiti wa klabu Ismail Aden Rage kuongoza timu hiyo.

Kuhusiana na sababu zilizopelekea Rage kusimamishwa na kamati ya utendaji na Rage amechukuliaje uamuzi wa kamati ya utendaji
 
Mkuu Masuke ebu njoo ututhibitishie hii habari bhana.
 
Last edited by a moderator:
Taarifa zilizothibitishwa kutoka Katika klabu ya Simba ni kwamba kamati ya utendaji ya klabu hiyo imemsimamisha mwenyekiti wa klabu Ismail Aden Rage kuongoza timu hiyo.
Kuhusiana na sababu zilizopelekea Rage kusimamishwa na kamati ya utendaji na Rage amechukuliaje uamuzi wa kamati ya utendaji

Mkuu hebu funguka zaidi naona kama ulitaka kwenda mbele zaidi lakini naona umerudia maneno!!!
 
Mkuu funguka basi tunakusubiri,mbona kimya,hii habari ni kubwa mno,funguka mkuu.
 
Kuna press conference saa 5:30 asubuhi hii ndo tunasubiria details
 
Kamati ya utendaji ya klabu ya Simba iliyokutana jana usiku, imemsimamisha kazi Mwenyekiti Ismail Aden Rage.

Rage amesimamishwa kazi kutokana na masuala kadhaa, lakini kubwa imeelezwa ni suala la mauzo ya mchezaji Emmanuel Okwi.
 
Je hamkujua kuwa huyu bwana alishahukumiwa kwa kuiba hela wakati huo FAT? Iweje mumpe hiyo nafasi wakati ni mwizi aliyehukumiwa tayari?
 
hapo kuna kitu maana haiwezekani huyu rais wa fitna tz kuondolea kiulaini hivi..
 
Rage mzee wa bastola, na iwe kweli ana maneno mengi kama magamba wenzie utendaji sifuri
 
vikao vya harusi hivyo havina mamlaka kisheria!
 
Back
Top Bottom