Kila mmoja kalipwa sh. Ngapi kujiandikisha? ... Mbona mikoa yote mnyaokwenda ni njaa tu? ...
Hivi hicho chama chenu ni chadema au chadomo? Maana mnapiga sana domo kuanzia viongozi wenu hadi wanachama, ndio maana Ufisadi ushajikita kwenye chama chenu. Haya sasa ndio kishanuka hivyo. Hongera zenu ADC msitishike na maneno ya waliofilisika kisiasa.
Tunawakaribisha kwenye mpambano lakini isije ikawa kama akina peter Mzirai kwenye Kampeni mkaja sema wapeni kura CCM kwani CDM hawafai, maana nyie ni vijivyama vya msimu vinajitokeza uchaguzi ukikaribia.Kumbe ndio sera zenu huko kwenu kulipa watu kwa ajili ya kazi za kichama!! okay hongereni kwa kununua umaarufu......lakini kumbukeni ADC ndo ishafika hivyo, mjiandae.
Hatubipu sisi, nia yetu ni kukamata dola sio kupiga domo. 2015 CCM itang'oka tu
orodha iko hivi;
cuf= ccm b
nccr-manunuzi= ccm c
adc= ccm d