ADC wa Rais Samia asijisahau Kiitifaki hawaruhusiwi Kucheka wala Kutabasamu awapo kazini

Mbona umeandika huku unajistukia sana
 
Kwani siku walipompa hiyo nafasi hakuwepo mwenye vigezo hivyo mpaka wakampa huyo?
Mchakato wa kumpata ulikiukwa?
 
ila watu.
 
Ukiangalia vizuri kwa kuzoom utagundua kwamba huyo ADC wala hakuwa anacheka kwa sababu hakuna ishara yeyote hapo inayoonesha kwamba alikuwa anacheka.

Hapo huwenda alikuwa anaongea kitu ama alifunua mdomo kidogo na meno yake yakaonekana.

Labda utuambie kwamba haruhusiwi kuonesha meno yake kwa NAMNA YEYOTE ILE.

ama utuambie kwamba kucheka tafsiri yake kwa walinzi wa raisi ni kitemdo cha KUONESHA MENO.

Mbali na hapo huyo hakuwa anacheka.
 
Hiini Tanzania sio Rwanda nendakwangongoti kaishi tz niinchipisi kilamtuanatakiwaafulahie
 
She always has to dance to the tunes of 'Trust Nobody And Be Unpredictable' !!!
 
Akicheka au kutabasamu rais anapata madhara gani.?
Ni upuuzi tupu!
Unataka mtu muda wote awe ananuna kama anakula malimao??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…