adapta ya acer

adapta ya acer

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
360
naomba msaada wakupata adapta ya laptop,naweza pata wapi? nakwa shilingi ngapi?
 
Tembelea zoomtanzania.com kuna post za slassifields yupo mtu anazo of all brands

Bei inarange 50,000

Pia kama una Acc ya facebook nenda ktk Group inaitwa BongoDeals unaweza kupost na ukapata replys lukuki


All the best
 
thanks mkuu kwa msaada maana nilikuwa nayo ya universal imesha ungua nanaambiwa haitengenezeki.
 
me naweza kutengeneza kama upo maeneo ya dar ni inbox 2wasiliane cost yangu ni sh15K.
 
nashukuru mkuu,nipo moro piasijakuelewa cost yako ni shilingi ngapi? sijaelewa Sh15k,nipe ufafanuzi nitaituma hata kwanye basi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom