PreGE2025 Adamson Mwakasaka: Tabora imeitwa Toronto kwa sababu yangu

PreGE2025 Adamson Mwakasaka: Tabora imeitwa Toronto kwa sababu yangu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tabora Mjini Emmnauel Adamson Mwakasaka amejitokeza mapema leo asubuhi kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya Chama cha Mapinduzi ili apate nafasi ya kuwania Ubunge kwa mara ya Tatu mfululizo baada ya kutumikia Jimbo hilo la Tabora mjini katika vipindi viwili mfululizo,

Mwakasaka ameweka rekodi ya kuwa Mbunge pekee wa jimbo hilo kwa miaka ya hivi karibuni kuchaguliwa mara mbili ukiachilia mbali Mbunge Marehemu PAUL MISIGALO aliyewahi kuongoza mara mbili kuanzia mwaka 1975 hadi mwaka 1985.

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025

Mwakasaka sasa anaomba tena ridhaa nyingine tena apate nafasi ya kuwania Ubunge kwa mara ya Tatu mfululizo.

 
Yule mzee mwanri ndie aliye ipaisha tabora bwana, kwanza hatukuwahi kujua kama tabora kuna mbunge.
 
Kwa hiyo Tabora hitaji lao kubwa lilikuwa kuitwa Toronto?
 
Back
Top Bottom