nilikuwa nakuelewa sana kule siasani Radhia Sweety ila huu mwendo huu unanipa mashaka juu ya maamuzi ya unachoadndika!
TOO LOW!TOO VERY LOW!
wachana na hii habari!
yani wachana nayo kabisa!
DELETE FUTA KABISA!
huku ni kuwa hater tu,haina maana mimi naipenda clouds lakini KWA HAYA UNAYOKOMAA KUYAPOST HUMU
huna hoja!HUNA HOJA!ni CHUKI TU dhidi ya hawa watu!
PERIOD!