Adam Mchomvu: Mimi kodi yangu asipewe mchezaji, Barabara mbovu, wagonjwa hawana dawa

Adam Mchomvu: Mimi kodi yangu asipewe mchezaji, Barabara mbovu, wagonjwa hawana dawa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mtangazaji wa Clouds Media, Adam Mchomvu, amedai kuwa "Mimi kodi yangu asipewe mchezaji" akisema, hali ya miundombinu, kama barabara za ndani ni mbovu kila chocho, wagonjwa wengi hawapati dawa, na yatima pamoja na wenye mahitaji maalum wanakosa msaada unaohitajika.

Screenshot 2026-01-06 120415.png
 
Njoo Arusha, barabara za mitaa ni mbovu kupita maelezo. Hakuna mtaa wenye barabara nzuri Arusha hata moja.

1. Serikali inamiliki milima ya moram.

2. Serikali ina magari yakupeba michanga, heavy equipment kwaajili ya ujenzi, lakini pia ina madereva.

3. Kwanini wasitenge bajeti ndogo kuboresha hizi barabara? Mbona ni issue ndogo sana?

4. Unakuta mbunge, mkuu wa wilaya etc, wanapita kwenye barabara hizi mbovu miaka na miaka, unajiuliza hawaoni? Shida ni nini hasa? Uvivu wakupindukia?

5. Lakini pia viongozi wa juu, wanaona lakini wanakaa kimya, vitu vingine wala si tatizo la pesa lakini hakuna anayejali?

6. Viongozi wa mitaa Tanzania na Arusha specifically mmechanganyikiwa? Nyie ni majuha? Hamuwezi kumobilize resources sasa mnaenda ofisini kufanya nini?
 
Mtangazaji wa Clouds Media, Adam Mchomvu, amedai kuwa "Mimi kodi yangu asipewe mchezaji" akisema, hali ya miundombinu, kama barabara za ndani ni mbovu kila chocho, wagonjwa wengi hawapati dawa, na yatima pamoja na wenye mahitaji maalum wanakosa msaada unaohitajika.

Mchomvu na Fetty...Ni kati ya watangazaji wanaojitambua sana since way back
 
Njoo Arusha, barabara za mitaa ni mbovu kupita maelezo. Hakuna mtaa wenye barabara nzuri Arusha hata moja.

1. Serikali inamiliki milima ya moram.

2. Serikali ina magari yakupeba michanga, heavy equipment kwaajili ya ujenzi, lakini pia ina madereva.

3. Kwanini wasitenge bajeti ndogo kuboresha hizi barabara? Mbona ni issue ndogo sana?

4. Unakuta mbunge, mkuu wa wilaya etc, wanapita kwenye barabara hizi mbovu miaka na miaka, unajiuliza hawaoni? Shida ni nini hasa? Uvivu wakupindukia?

5. Lakini pia viongozi wa juu, wanaona lakini wanakaa kimya, vitu vingine wala si tatizo la pesa lakini hakuna anayejali?

6. Viongozi wa mitaa Tanzania na Arusha specifically mmechanganyikiwa? Nyie ni majuha? Hamuwezi kumobilize resources sasa mnaenda ofisini kufanya nini?
Badala ya changamoto hizo kushughulikiwa, mkaahidiwa kuletewa Anorld Schwarzenegger. 🙆
 
ndiyo maana katiba mpya ni muhimu sana, hii katiba only works kama ukibahatika kuwa na ''a good human being'' at the top lkn ukipata bahati mbaya ni vilio kila mahali, kwa maana raisi anaamua kufanya anavyotaka, hakuna anayeweza kuhoji fedha anazotapakaza kila mahali zimetoka bajeti ipi? na kwa nini hata tuna bunge la bajeti basi kama fedha zinaweza kuchukuliwa wakati wowote na kugawiwa anayempendeza pale anapojisikia?

katiba mpya ni lazima na yote haya tuyaangalie kwani tunaona yanayoendelea, ila bahati mbaya zaidi yule yule ambaye anatapanya fedha za uma kila mahali ndiyo eti asimamie katiba mpya, yaani ajiondolee hii power alionayo? ...
 
Ni Tanzania pekee tutafika jehanamu huko motoni tukiwa tumechoka sana!, Mungu atusamehe tu hata dhambi zetu tabu tuliyopata huku duniani inatosha kabisa kutuadhibu.
Yaani kama kuna moto mwengine zaidi ya huu sijui niseme nini 😭😭😭 maana tunabatizwa kwa moto deileee.
 
Bora wangewaacha chadema wakomae wenyewe wananchi wangetegea wakijua Wanao watu wakuwapambania
Mnataka wachezaji wa taifa wasilipwe,wacheze bure tu,mbona nyinyi hamjitolei walau kusafisha barabara na mitaa?
Halafu hospital gani haina dawa?..so wagonjwa wanakufa huko hispitalini kwa kukosa dawa?
 
Back
Top Bottom