Adam Mchomvu ampiga msanii Q Chief

Kwanini kampiga???kampiga bila kosa??kwani adam ni kichaa??nahisi kuna chanzo ungekiweka pia tuone
Akamchokoze Majani yeye si muhuni. Hivi yeye nan anakorofishana na kila mtu refer list ya watu aliowapiga kweny comments juu hapo
 
Hili choko wanalifuga sana clouds. ila anajua wa wakuwapiga. kama yeye kidume kweli asipe wenye mbavu anafuata dhaifu
 
Hapa tusiweke uarusha wala swala la bange..

Adam makuzi ya kwao mabovu tu.

Hata kama mtu amekuchocha unampigaje eneo la kazi.
Will smith alichokifanya stejini kwenye tamasha mpaka leo anajutia..
Adam alimkata mtu matama stejini na bado ana tamba,bado anapewa dili nono nono..

Anapiga watu studio kubwa kama clouds na bado yupo anatamba na sio mara moja..inasikitisha.

Sema adam ni mjanja anachagua wachovuwachovu...watu kama waliopinda hawagusi.
 
Imagine wapo on air then anaropoka "we adam si kila siku unalalamika mama brandon anakusumbua humuelewi unataka msaada(wa kiganga)". Adam akamwambia nakuzimia mic coz unaattack my family, hata kennedy alimmind chila basi tu hana nguvu ila wangemchangia.
Yeye mwenyewe hutania wenzake vibaya kuliko hapo. Na kama anasemaga mama Brandon anamsumbua redioni basi Qchifu hana kosa lolote.
 
Kwenda airport na Bodaboda siyo umasikin watu wengi wanaenda na bodaboda na wana cash ya kutosha maskini ukiwa na gari moja ndo unataka uende nalo kila sehem, Bodaboda inasaidia sana kukiwa na folen huwezi kukomaa na gari kwenye folen hadi uchelewe ndege wakati Kuna njia mbadala, lakin pia labda hakua na dereva wa kurudisha gari nyumbani sasa wewe ulitaka aje na gari lirudi na Nani?

Acha mawazo ya kimaskini kwamba kila mpanda Bodaboda hana maisha
it was early morning, hakukuwa na sababu ya kusingizia foleni, pia nakubaliana ya hoja yako si kila anayepanda boda hana maisha na sio kila mwenye gari amefanikiwa kimaisha pia. gari sio kipimo cha kufanikiwa.
but the way alivyokuja angerequest hata tax kwa alfajiri hakuna folen sana na kama kuwahi ingemuwahisha tu.
nilichokimaanisha ni life lake lakimaskini tu hata awe na gari he is still poor kwa nlivyo mdiagnosis.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom