bichwa lako linawaza ngono zembe muda wote!subiri wazinzi wenzio wasupport ujinga wakoHivi huwa inakuweje ….
Mtu na akili zake anakubali kufanya mambo fulani sehemu isiyo rasmi? Kwenye gari / ofisini / pembezoni mwa barabara …. Kibaya zaidi utakuta mtu anampeleka mwenzake adabuni then wanado…. Imekaaje hiyo wana JF.
Mkuu... They say love doesnt ask why!!
Lakini mi naona hayo ni yale mapenzi yasiyo rasmi.. Yani yale mapenzi hasa ya kuiba iba sana! Maybe umechukua mke wa mtu ama kama ni ofisini basi mmechakachuana na mfanyakazi mwenzio! Things goes like that...!
By the way...! Wanasema mapenzi ni UCHIZI...! labda ndio huo hasaaaa!!
mkuu... They say love doesnt ask why!!
Lakini mi naona hayo ni yale mapenzi yasiyo rasmi.. Yani yale mapenzi hasa ya kuiba iba sana! Maybe umechukua mke wa mtu ama kama ni ofisini basi mmechakachuana na mfanyakazi mwenzio! Things goes like that...!
By the way...! Wanasema mapenzi ni uchizi...! Labda ndio huo hasaaaa!!
Hivi huwa inakuweje .
Mtu na akili zake anakubali kufanya mambo fulani sehemu isiyo rasmi? Kwenye gari / ofisini / pembezoni mwa barabara . Kibaya zaidi utakuta mtu anampeleka mwenzake adabuni then wanado . Imekaaje hiyo wana JF.
Adabuni ni wap
Sehem rasmi ni ndani au wapi? kama ni hivyo mbona kuna watu wanaleta sredi hapa kwa usumbufu wanaoupata kwa kuskia yanayoendelea chumba cha jirani.
Cha msingi ni kujifunza kucontrol macho na maskio yako ukiona gari ya watu inanesa nesa sio lazima ukahakikishe kinachoendelea humo..............................watu wana fantasy zao za ajabu eti
Btw mi mwenyewe kuna jambo langu nna mpango wa kulifanyia juu ya paa la nyumba sijui huko nako sio rasmi????