Sawa ni Dada yake au mdogo Wa kiume ila mkiwa wote hapo home hawafanyi kazi yoyote na hawaingii rum yako ila umeondoka tu wanaingia na kutafuta chochote huko chumbani.
kama mimi hata kama hawataki ningewalazimisha,haiji wao wapo tu kisha mimi ndo nifanye usafi?pia itategemea na wewe mwenyewe hasa nyinyi wa dada ndo mnakuwa ng'wang'walu ila hamna shida ,kubwa wivu tu hapo hakuna lolote.Je ni sahihi shemeji au wifi kuingia chumbani kwako na kufanya usafi wakati upo safarini. Kwa kigezo kwamba ni chumbani kwa kaka yetu? naombeni tusaidiane katika hili
Je ni sahihi shemeji au wifi kuingia chumbani kwako na kufanya usafi wakati upo safarini. Kwa kigezo kwamba ni chumbani kwa kaka yetu? naombeni tusaidiane katika hili
Bora afanye usafi wifi kuliko dada wa kazi.