Ada za vyuo vya serikali inajumuisha nini?

Ada za vyuo vya serikali inajumuisha nini?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,027
Reaction score
104,500
Vyuo vya afya (na vingine) vya serikali ada zao ndogo kulinganisha na binafsi. Je ada hizo ni pamoja na kula na kulala au hayo unajitegemea.
 
Back
Top Bottom