Ada ya kusomea Diploma ya Afya Vyuo vya Serikali

Ada ya kusomea Diploma ya Afya Vyuo vya Serikali

pole mkuu ..huwezi soma diploma ya clinical officer.. vigezo ni c tatu kwa masomo ya chem ,phy, bios..hapo kwenye phy ndo umevuruga ungeweza soma clinical assistant yaani CA
Naulizia vyuo vinavyotoa diploma in surgery in dentistry vya dar au vyovyote vizur
 
Jaman nisaidieni
Credit zang zipo iv (CSEE)
Bio=C
Chemi =D
Eng=C
Geo=D
Kisw=D
Islamic=C
Civcs=D
Phy na math=F. Div 3 point 25
Natak kwenda advance kwa combination ya CBG lakin nimeambiwa siwez kufany mtihan kam candidates sas naomb ushaur wenu nirepeat tena form 4 au niend advance nikawe kam pc ushauri plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry naomba kuuliza wanajamii forum ,kati ya advance na diploma ipi inatoa nafasi kubwa kwa mwanafunzi??
 
Back
Top Bottom