haya kijana wangu mshauli aje dental rufaa au kama anataka nursing aje kutukuyu ku south
Mwanangu ww huwez kuachwaWakuu...naomba kuuliza kama kuna chuo cha Clinical Officer mkoani Mbeya au Iringa...Binafsi nimeulizia nimeshindwa kupata jibu.Nishaapply vyuo vtatu vya serikali mtandaoni,lakin idad ya waombaji ni kubwa na ninapata waswas wa kuchaguliwa...Naomben msaada wenu..
Ahsanten!!
(Nina B+ ya chem,Bios na Phys)
Mwanangu ww huwez kuachwa
ooh PHYSICS Fjaman nisaidieni
naweza kusoma clinical officer?
matokeo nikama ifuatavyo 2016
bios D
hist D
Engl D
civics C
chemi D
geog D
kiswahili C
naombeni mnisidie ndug zangu
huwez labda medical lab certificateahaa asante ndug iv na cretificate aiwezkan