Kwa vyuo vya serikali ni Mara mbili kwa mwaka. Mwanzo wa semista ya kwanza, na mwanzo wa semista ya pili. Ila kwa vyuo vya private naona ili kupata wanafunzi kulipa vingine mpk awamu nneKwa waliowahi kusoma chuo kozi ya clinical medicine, Ada yake inalipwa mara ngapi kwa mwaka?
Kwa vyuo vya serikali ni Mara mbili kwa mwaka. Mwanzo wa semista ya kwanza, na mwanzo wa semista ya pili. Ila kwa vyuo vya private naona ili kupata wanafunzi kulipa vingine mpk awamu nne
Vyote ni sawa, nenda chochote interms of elimu, ila maisha labda lugaloAsante mkuu.... Na unaweza nishauri vyuo vipi ni vizuri? Kati ya hivi Kibaha,
Lugalo, na Kilosa?
Kibaha na Kilosa ni the best. Chagua kimojawapo, Mimi nilisoma KilosaAsante mkuu.... Na unaweza nishauri vyuo vipi ni vizuri? Kati ya hivi Kibaha,
Lugalo, na Kilosa?
Na mimi haya yananihusu nisaidie kilosa hostel zipo ndani au unakaa nje ya chuo na karo wanapokea kwa awamu ngapiKibaha na Kilosa ni the best. Chagua kimojawapo, Mimi nilisoma Kilosa
Msongola kiko dsm ada Mara 4 kila k2 makini krb kijanaNa mimi haya yananihusu nisaidie kilosa hostel zipo ndani au unakaa nje ya chuo na karo wanapokea kwa awamu ngapi
Hostel ndani au uswazi maeneo gani hapo dsmMsongola kiko dsm ada Mara 4 kila k2 makini krb kijana
Hostel ndani na baadhi hukaa nje ila karibu na chuo. Ada hupokea Mara mbili kwa mwaka, ila Mimi nililipa mwaka wa tatu madeni. Ndo uzuri wake,Na mimi haya yananihusu nisaidie kilosa hostel zipo ndani au unakaa nje ya chuo na karo wanapokea kwa awamu ngapi
Sisi wengine ni wazazi. Tunatafuta kwa ajili ya watoto wetu. Sasa naomba Kama inawezekana tuwekee hapa utaratibu tuwawezeshe watoto wetu. Mimi hasa ni mhitaji kwa mwanangu.Kama Kuna mwanafunzi ana sifa za kujiunga na diploma ya Clinical Medicine au pharmacy na unahitaji kwa mwaka huu nakuomba PM nikupe utaratibu utakaokusaidia kupata ufadhili ikiwa utakidhi vigezo. Naomba awe mwanafunzi mwenyewe atakayekuja tafadhali.
Sikushindwa kuweka hapa ila kuna taarifa binafsi za mwanafunzi zinahitajika ndio maana nikasema waje PM.Sisi wengine ni wazazi. Tunatafuta kwa ajili ya watoto wetu. Sasa naomba Kama inawezekana tuwekee hapa utaratibu tuwawezeshe watoto wetu. Mimi hasa ni mhitaji kwa mwanangu.
Kama Kuna mwanafunzi ana sifa za kujiunga na diploma ya Clinical Medicine au pharmacy na unahitaji kwa mwaka huu nakuomba PM nikupe utaratibu utakaokusaidia kupata ufadhili ikiwa utakidhi vigezo. Naomba awe mwanafunzi mwenyewe atakayekuja tafadhali.