uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 11,989
- 28,449
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu nina kijana wangu nataka nimpeleke hapo cbe kuendelea na masomo kwa ngazi ya certificate kwenye masuala ya uhasibu je level hii gharama ni shilingi ngapi na udahili wake ukoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app