Ada ndefu za shule balaa sijapata kuona

Sijajua unacho lalamika ni nini hasa wewe uwezi afford wapo wanao afford ingekuwa unalazimishwa ndio ungekuwa na haki ya kulialia...Dunia inamachaguo mengi chagua chenye uwezo wako umaskini wako ndio zigo lako MO ana Billion 200+ iyo pesa sasa kwake, Bakhresa, Late mengi, Mafuruki, Shirima, Diplomats, Investors, CEOs nk wote hao hizo ndio shule zao.

Range Rover bei na watu wananunua, iweje ulalamike wewe nunua IST kuna familia ada ya 400,000/= wanakaa vikao vya michango na kulaumiana.

Spend what you can afford.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we acha tu.
 
Mil. 34 chekechea na mil. 70 secondary. Njoo na jina la hiyo shule vinginevyo hayo majungu
IST (International Schools of Tanganyika)
Ada yao ni zaidi ya hiyo aliyoiyaja mtoa post na huwa wanatumia mtaala wa Cambridge (huu ni mtaala wa uingereza japo sina uhakika sana)

Ada yao wanalipa interm of us dollar ndyo maana zinaonekana kuwa ni fedha nyingi sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania kila kitu kinaendeshwa ovyo ovyo tu. Mfano hizi shule za binafsi ilitakiwa wizara ya elimu iwe na kitengo cha kufuatilia na kudhibiti hizi shule. Hizi shule nyingi wanajiongezea tu ada kiholela ksbb wameona hakuna wa kuwadhibiti. Hebu ona milioni 70 ni kitu gani watoto wanakipata zaidi ya shule zingine? Unakuta hakuna ni tamaa zao tu. Hapo utakuta nyongeza wanakula mayai asubuhi na nyama usiku. Na mayai yenyewe ni haya ya kizezeta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mohamed Dewji kipenz cha wanasimba.. amesoma shule hiyo IST kuanzia chekechea hadi high school,,,, sasa ulitaka watu wa level za kina Mo Dewji wasome loyola?
 

1.Wapo wabongo wanaosoma hiyo shule, lakini 95% ni wanafunzi kutoka mataifa mengine, wakiwemo watoto wa mabalozi, wawekezaji wakubwa kutoka mataifa ya nje n.k
2. Elimu inayotolewa haifuati mtaala wetu wa wizara ya elimu ya hapa Tz!
Unatumika mtaala wa I.B
3.Wanaandaliwa kuishi popote ulimwenguni, hata bongo wanaishi, wapo waliohitimu tayari na wapo bongo hapa kama Ma C.E.O wa makampuni, wengine ni waalimu wa hiyo shule na wengine wapo kwenye office nyeti za kimataifa kama ubalozini n.k
4. Ukubwa wa ada upo kwenye ubora wa elimu wanayoipata, miundombinu iliyowekezwa, gharama za uendeshaji ikiwemo malipo ya mishahara (mishahara ni kuanzia digit 7) yapo mengi ukitaka kufahamu zaidi itembelee hiyo shule!
4. Hii shule ipo miaka mingi na gharama zake zikiwa kubwa hivyo hivyo! Zimekuwa zikipanda mwaka hadi mwaka, hapa serikali haiwezi kuingilia kwa kuwa hata haitumii mtaala wetu, na pia hiyo shule siyo ya walalahoi, usitegemee eti serikali ije na tamko washushe ada!
...Shule za bei nafuu binafsi zipo ambazo zinatumia mtaala wetu ambao unasimamiwa na serikali yetu na pia shule za serikali ni bure ambazo ndio zinafaa wanyonge!
Kwa hiyo hakuna utetezi mwingine zaidi wa serikali zaidi ya kutoa msaada wa kusomesha bure kwenye shule zake!
....


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sio kosa lako bali You lack exposure in life...umasikini unafanya pia mtu kuwa na miner thinking circle anafikiri kitu kwa mawanda ya umasikini wake tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini haujalazimishwa kuwapeleka huko mkuu... ni hiari yako. To others education means business, kwa serikali elimu ni huduma... lakini haiwezi kuingilia na kuwapangia shule private ada iwe kiasi gani... haujui ni service gani zinatolewa na hizo shule, gharama za uendeshaji ni za shule husika sio za serikali..... unataka private school wawalipe walimu wao mishahara ya serikali, ambayo tunailalamikia, Mwalimu anaelipwa vizuri ndio msingi wa yeye kufundisha vizuri bila stress za maisha.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

...Wala hata tz haihusiki hapo kwenye uendeshaji, nadhani hayo unayosema ni matokeo ya vodafasta!
Hivi unaifahamu vizuri I.S.T??
Kwa taarifa yako hata hayo mayai hawapewi, hakuna cha break wala lunch na 70M inalipwa!!
Karibu I.S.T mwaka mpya wa masomo 2020!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Attachments

  • IMG_7199.JPG
    43.8 KB · Views: 13
Umejibu swali lako mwenyewe ndugu. Nimeuliza maswali manne, Sijaona jibu la swali langu hata moja!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru kwa jibu zuri na la kistaarabu. Nimekuelewa vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano P Funk Majani , kalabani ( sina hakika na jina) hata humu JF yuko mmoja kasoma hapo I.S.T

Shule nyingine kdg iko juu ni HOPAC

MTC | 101| [emoji769]
 
Huyu mleta mada anadhihirisha kiwango cha umasikini kilivyo kikubwa mpaka akilini mwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Idhibiti kivipi? Serikali yawanyonge imechangia hata badi kwenye kujenga? Shule zao za kata zimewashinda alafu waende kuparamia shule za watu wenye akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we mpeleke mwanao kitunda primary school huko kwenye elimu bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…