Ada itaendelea kuwa kimeo cha Januari

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Kila mwaka ada ni mateso na machungu makubwa sana tunapoumaliza mwaka na kuuanza mwaka mwingine...

Ada huwa inakumbwa na changamoto nyingi sana za disemba na mwaka mpya januari mosi. Mara sherehe nk.

Ada Januari ni janga kubwa sana miaka nenda rudi.
 
Solution yake ni kupeleka watoto kwenye shule za umma.
 
Kwa kweli mambo ya ada na makodi ya nyumba ni pasua kichwa.Huwa najiuliza sana hii ni free education au Education for free???
 
mkuu umesema ukweli mchungu ambao waswahili wengi hawataki kuumeza!

huwa nawashangaa sana watu ambao wanalazimisha watoto wao wasome shule za private zenye ada juu huku hali zao ni duni

kwa mtu timamu hawezi kukubali alipe ada then kwake ale tembele na bamia,,, huu ni upunguani wa head

Solution yake ni kupeleka watoto kwenye shule za umma.
 
mkuu umesema ukweli mchungu ambao waswahili wengi hawataki kuumeza!

huwa nawashangaa sana watu ambao wanalazimisha watoto wao wasome shule za private zenye ada juu huku hali zao ni duni

kwa mtu timamu hawezi kukubali alipe ada then kwake ale tembele na bamia,,, huu ni upunguani wa head

Endelea kidogo:

Wakati huo wanapondea elimu ni mbovu na imekuwa haina predicted future, wameletewa ‘elimu bure’ bado hawataki tena.... kupanga ni kuchagua.
 
mkuu umesema ukweli mchungu ambao waswahili wengi hawataki kuumeza!

huwa nawashangaa sana watu ambao wanalazimisha watoto wao wasome shule za private zenye ada juu huku hali zao ni duni

kwa mtu timamu hawezi kukubali alipe ada then kwake ale tembele na bamia,,, huu ni upunguani wa head
Tatizo lingine wengi wametawaliwa na wake zao wanaumia lakini wanaogopa wasiwazi wake zao, imagine Xmass na mwaka mpya ni kipindi cha kufurahi lakini kwa wabongo wengi ni kipindi cha toba.
 
Awamu ya tano imetoa unafuu kwa kutenga bajeti kila Meizu kwaajiri ya elimu bure..tumia vyema hiyo nafasi.

Heko Mh. Raisi
 
Back
Top Bottom