Actuarial science

Actuarial science

Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Posts
582
Reaction score
104
Jamani wana JF hii kozi hapa Nchini mbona haipo na nikiangalia kwenye Prospectus ya UDsm naona imeandikwa na pale chuoni haifundishi ............hii mambo imekaa vp na hapa Tz nasikia wataalamu wa hiyo mambo wako 50 tu!!!
 
Acha uongo mkuu hyo actuarial science IPO na inafundshwa hapa udsm na kuna tuna share nao baadh ya course
 
Back
Top Bottom