Mm sijui vizuri environment engineering kazi zake hapa bongo ingawa watu wanaochaguliwa uwa na ufaulu wa kawaida hata div 2 na 3 uwa wanachaguliwa kusoma kwahiyo unavyo ilinganisha actuarial science na environment unakosea sea sana hii kozi labda ungelikanisha na petroleum engineering km unapenda kuwa engineer sio environment hata PCB wanosoma, Hv kiongozi ufaulu wako kiwango gan? tusiwe tuna jisumbua kukushauri actuarial vigezo vyako vikawa vya kusoma environment