itagata JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 218 Reaction score 77 Oct 1, 2012 #1 Habari wakuu, samahani naomba msaada kwa mtu anayejua namna ya ku-activate evaluation copy ya windows8 kwani ina-expire baada ya siku 90, hivyo nahofu material yangu yote yatapotea, naomba msaada wakuu.
Habari wakuu, samahani naomba msaada kwa mtu anayejua namna ya ku-activate evaluation copy ya windows8 kwani ina-expire baada ya siku 90, hivyo nahofu material yangu yote yatapotea, naomba msaada wakuu.
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 594 Oct 1, 2012 #2 Hebu pita hapo https://www.jamiiforums.com/tech-ga...0840-windows-8-pro-activator.html#post4721334 jambo hili limesha zungumziwa
Hebu pita hapo https://www.jamiiforums.com/tech-ga...0840-windows-8-pro-activator.html#post4721334 jambo hili limesha zungumziwa