Actionaid Tanzania

Actionaid Tanzania

sambb

Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
33
Reaction score
12
Hello jf, kwa anaewafahamu ngo tajwa hapo juu utendaji wake wa kazi naomba anifahamishe,na pia kama kuna mtu alishawahi kufanya internship hapo anifahamishe kama wanalipa posho kidogo hata za nauli? Natanguliza shukrani.
 
hao jamaa wamenicheki jana asubuhi nimepanga leo ndo nikawasikilizie nione wapo vipi...ntakupa ripoti mkuu
 
je hauna information zozote ulizotumiwa kwa internet maana na mim wameniita wasiana nami kwa 0718 323238
 
:flypig:wanalipa vizur haooooo

Post gani??mishahara ya kawaida sana tu labda kama ww ni fresh from school ndo utaona mizuri..Angalizo: kuna high rate of turnover;na mwez wa pili au wa tatu wameachisha wafanyakazi kibaoo walikuwa chini ya project ya Land accountability!!in short ni pa kuzugia na kupata xperience ila sio makazi
 
Back
Top Bottom