Mr. MTUI JF-Expert Member Feb 18, 2013 8,130 8,362 May 13, 2017 #1 Jionee hapa vijana walivyojipanga...
W wa hapahapa JF-Expert Member Aug 22, 2012 7,455 4,395 May 13, 2017 #2 japo mm sio mpenzi wa bongo mov lakini hii kiasi inavutia
Mr. MTUI JF-Expert Member Feb 18, 2013 8,130 8,362 May 13, 2017 Thread starter #3 Umeona eeh.. Wako njema
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,651 71,007 May 13, 2017 #6 Jamaa anapigwa anaangalia usawa akianguka atue vipi..anamuwekea mikono halafu jamaa anapiga hapo hapo... woooooi...hahaha
Jamaa anapigwa anaangalia usawa akianguka atue vipi..anamuwekea mikono halafu jamaa anapiga hapo hapo... woooooi...hahaha
Jagood JF-Expert Member Aug 15, 2016 2,141 2,390 May 13, 2017 #7 ngombelee said: Mbona sioni kitu Click to expand... Kama unatumia Jf app ni kweli haionekani, jaribu kufungua kwa "Web view"
ngombelee said: Mbona sioni kitu Click to expand... Kama unatumia Jf app ni kweli haionekani, jaribu kufungua kwa "Web view"