Acting Prime Minister Sitta

Acting Prime Minister Sitta

Kimbaka

Member
Joined
May 8, 2013
Posts
8
Reaction score
0
habari wana jamii forum,
kwa wale wanaofuatilia bunge let mtakuwa mmegundua kua waziri mkuu alipotoka bungeni kwenda arusha alimuachia mh. Sitta bunge.Je mnaonaje jinsi Mh. Sitta anavyojibu maswali na hoja mbalimbali bungeni mkilinganisha na mheshimiwa wetu.
 
Kwani kuna kitu kipi cha maana alichozungumza ambacho Pinda angeshindwa kuzungumza???
 
Busara ilitawala kuliko ushabiki,huwa namuamini sana Sitta kwenye kusimamia ukweli
 
6 ni kiongozi anayejua, napendekeza agombee urais 2015 hata kwa tiketi ya mgombea binafsi kama magamba watamtosa
 
Mr. 6 ni mkweli ndio kinachomsaidia. Hana UCCM sana ndani yake jambo likiwa la kweli hachelei kuliunga mkono hata kama limetolewa na upinzani
 
Mzee wa viwango hua hamungunyi maneno alifaa sana hiyo nafasi!ila siasa zetu za kibongo si vibaya acha aendelee kutuwakilisha east africa
 
tatizo lake kubwa ni msaliti aliwasaliti akina NEPI CCJ ila GAMBA NI GAMBA TU HAWEZI BADILIKA.
 
JF zaidi ya uijuavyo!

Sijaoni kitu kikubwa zaidi alichokifanya akikaimu jana, labda mwenzetu una utashi...
 
Pinda can only talk the talk but cant walk the walk.

But ​Sitta can talk the talk and walk the walk.
 
Akihitimisha mjadala wa bunge jioni hii naibu wa spika ndg Job Ndugai amelitangazia bunge kuwa session ya maswali kwa waziri mkuu kwa alhamisi ya tarehe 9/5/2013 haitakuwepo.
Hakuna sababu zilizotolewa kuhusiana na kusitisha utaratibu huu aliojiwekea mh waziri mkuu.

MY TAKE
Pinda amekacha maswali yanayohusu tukio la arusha?
 
Back
Top Bottom