chama cha wachumia tumbo
No hata jana nilipost umu kuwa awa ACT wanafanyia mikutano yao sokoni au stend -sehemu zenye mikusanyiko,wanaogopa kuitisha mikutano kwenye viwanja common kwani hakuna mtu atakwendaUnafanya watu kama hawana akili umepiga barabara halafu unaleta ujinga mkutano gani unafanyikia barabarani.
Mkutano wa leo Kigoma msipotoshe umma kwa picha za wakati wa maandalizi ya mkutano