ACT yaumbuka Kigoma

We,hapo mkutano umeanza au ?

huoni jamaa jukwaani wakimwaga sera!!!? aaaaah aaaaaah aaaaah

WAPI msalani, ifeero, laki siyo pesa nk.
Njooni mkane hilo jengo haliko kigoma mkane na haya magari ya lumumba yaliyopigwa rangi ya act. Njooni mkane ka alivyofanyia andiko Mwakyembe na yule prof miyemnunua kwa tishio la kumrejesha india.
 

Wanajipanga kuja kupinga ukweli mkuu
 
ha ha ha ha alafu ilo landcruiser inayoonekana ni ya mheshimiwa ZZK kwa wazawa au wakaazi wa KG watakubaliana nami
 
Kazi kama ndo hii !! Hatuwezi tena kuwawezesha kwani kazi ya kuua CHADEMA imewashinda
 
hapo ni jimboni kwa Linex mgombea mtarajiwa wa act.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…