ACT yatua Tarime kwa staili ya kipekee

ACT yatua Tarime kwa staili ya kipekee

Hiki Chadema kimekuja kuifuta Chadema ukitaka kujua angalia pro-Chadema wanavyoweweseka.
wewe ndiye unaweweseka mmetumia vyama 11 kuiua chadema vingine mliunda vikafa ndani ya siku 2 leo muiue chadema kwa chama cha wachumia tumbo?
 
ACT ndio kiboko ya chadema
 
Kiukweli habari hizi ni upotoshaji wa makusudi unaoendeleza watanzania wazidi kuielewa chadema wamezoea kuishi kwa uongo,jana chama cha ACT TANZANIA Kilikuwa kinafanya zoezi la uhakiki wa wanachama wao wadhamini,je unawapa watu kadi na kuwapa 2000 inakuaje hapo?wakati zoezi la uhakiki wa wanachama wadhamini hawa kadi mara ya mwisho walijazia mwezi wa pili na form ya kisheria ya udhamini kutumwa kwa msajiri na kadi hiyo anabaki nayo mwanachama,kwahyo zoezi hilo ni mwanachama kuja na kadi yake mbele ya msajiri na msajiri kuhakiki je kadi namba na jina linaendana?je mwanachama huyo aliyedhamini ndio yeye?na ili chama kipya kipate usajiri kinaitaji watu 200 katika mikoa 10 ya Tanzania.Taarifa nikupe mkoa wa Mara wamefanikisha zoezi la usajiri kwa muda mchache kuliko sehem nyingine yeyote zoezi lilianza sa3 hadi saa7 likawa limeisha na likapitiliza lengo la wadhamini 200 na chama mapema kikabidhiwa ithibati kuwa zoezi la uhakiki wa Usajiri wa wadhamini wa chama cha ACT TANZANIA ni halali na kweli walikuwepo,Elewa humuwezi kuishi kwa uongo maisha yenu yote ila ukweli utadhihirika na mtazidi umbuka tu,uongo huo mdangany mtu asioenda shule au ile misukule ya chadema
mmefanikiwa geresha vijana wote wale walisombwa toka stend na viongozi wa CHADEMA na watawaumbua
 
ACT ndio kiboko ya chadema
quote_icon.png
By Lizaboni

CHADEMA kwa sasa kimepoteza Supporters wengi kutoka dini ya kiislam.
ACT ni CHAMA CHA KIDINI.. kwa mujibu wa LIZABONI.
 
Kiukweli habari hizi ni upotoshaji wa makusudi unaoendeleza watanzania wazidi kuielewa chadema wamezoea kuishi kwa uongo,jana chama cha ACT TANZANIA Kilikuwa kinafanya zoezi la uhakiki wa wanachama wao wadhamini,je unawapa watu kadi na kuwapa 2000 inakuaje hapo?wakati zoezi la uhakiki wa wanachama wadhamini hawa kadi mara ya mwisho walijazia mwezi wa pili na form ya kisheria ya udhamini kutumwa kwa msajiri na kadi hiyo anabaki nayo mwanachama,kwahyo zoezi hilo ni mwanachama kuja na kadi yake mbele ya msajiri na msajiri kuhakiki je kadi namba na jina linaendana?je mwanachama huyo aliyedhamini ndio yeye?na ili chama kipya kipate usajiri kinaitaji watu 200 katika mikoa 10 ya Tanzania.Taarifa nikupe mkoa wa Mara wamefanikisha zoezi la usajiri kwa muda mchache kuliko sehem nyingine yeyote zoezi lilianza sa3 hadi saa7 likawa limeisha na likapitiliza lengo la wadhamini 200 na chama mapema kikabidhiwa ithibati kuwa zoezi la uhakiki wa Usajiri wa wadhamini wa chama cha ACT TANZANIA ni halali na kweli walikuwepo,Elewa humuwezi kuishi kwa uongo maisha yenu yote ila ukweli utadhihirika na mtazidi umbuka tu,uongo huo mdangany mtu asioenda shule au ile misukule ya chadema

Akili zako ni sawa na majuha tu, unalalamika kuhusu nini? ACT kamwe haiwezi kuifikia CDM itawachukua miaka 30,aina ya wanachama mlionao ni wale waliotoka cuf,wakaingia chadema,wakatoka chadema,wakaingia ccj,kisha cck,baada ya hapo wakaonekana ADC leo wako act,hapo pote ni kutafta mkate wa kila siku mmebadili siasa kuwa Biashara,endereeni na biashara ila mjue kuna faida na hasara.
 
jimbo la musoma vijijini liliuzwa na mbowe baada ya kupewa milioni 20 na mkono. Hiyo hela aliyopewa mbowe ndio hiyo aliyowakopesha chadema kwa riba kubwa,,, acha kujitoa akili we taahira

katka kundi la mataahira we utapata nafasi ya mbele.
 
Mtanzania gani asiyejua ACT Inafanza inahakiki wadhamini ili ipate usajiri wa kudumu,ushauri kwa vijana wa chadema badilikeni siasa za uongo zina mwisho wake
 
Kiukweli leo zoezi la uhakiki wawadhamini limekamilika chama hiki kimepata ithibati ya usajiri wa kudumu kwahyo tupite kifua mbele ACT TANZANIA imepata usajiri wa kudumu
 
Back
Top Bottom