Milango ya wasaliti mbeya imefungwa kabisa na mh sugu pamoja na mwambigija , usaliti ni kama mazao hauwezi kumea kwenye ukanda huu , msingi mkubwa wa usaliti ni njaa kali ya nafaka na pesa , mbeya hakuna nnjaa hizo
Waziri mkuu wa Mbeya Kamanda Jonh Mwambigija Akipokea kadi bendera na vitabu vya chama cha ACT kutoka kwa wakuu wa ulinzi na usalama wa Chadema mbeya baada ya kukamata vifaa ivyo vya ACT ambovyo vililetwa kwa kutaka kuwarubuni baadhi wanachama wa Chadema jijini Mbeya hakika chadema Mbeya iko imara sana.