Siyo siri mimi ni muha ila kwenye sakata la ACT ZITTO unajiharibia na kujishusha hadhi.Kwanza unatuhumiwa kuwa nyuma ya ACT wewe unakana,muda huo huo wakinaMwigamba nguvu zote wamewekeza Kigoma nawanatamka waziwaz eti hiki ni chama cha Zitto ili watu wajiunge,kwangu mimi nauona huu ni upuuzi,je huu si ukabila?wanawapigia watu kelele kuwa Chadema ni chakikanda na ukabila,,mbona ninyi ACT ndiyo mmekuja kwa kasi juu ya ukanda na ukabila?Kwahyo hiki ndiyo mnataka kiwe chama cha Kigoma?Naona hamtujui WAHA ninyi!