Talk of chama cha ukanda.....hiki ndo chama cha ukanda haswa.
Chama kipo Kigoma tu baaaasiiii.
Chama kipya na kinachokua kwa kasi cha ACT kinaendelea na ziara ya ujenzi wa chama. Hizi ni picha za mkutano wa Kasulu Kigoma.
Karibuni mtuunge mkono kwa maslahi ya nchi yetu.
Njano5
Machadema bwana hayakosi maneno. Juzi mlikuwa mnapiga kelele ohhho chama cha mitandao leo tena unasema mikutano sio issue!
Hujui siasa au unaufaham mdogo.ulitegemea chama kichepuke na kupendwa nchi nzima kama ilivyo kwenye vyama vingine lazima kuwe na sehemu chama kitakubalika haraka kuliko ukanda mwingine.CDM hadi Leo wanapamba kupata nguvu ukanda wa pwani ambao CCM na CUF wanapeta.wakati Kilimanjaro na Arusha hakuna CUF.
Machadema bwana hayakosi maneno. Juzi mlikuwa mnapiga kelele ohhho chama cha mitandao leo tena unasema mikutano sio issue!
Bado nafanya utafiti sijapata jibu kwamba ni kwanini wanaCCM walio wengi wanaipenda na kuishangilia sana ACT hasa wafuasi wa CCM mitandaoni!!!!!
Chama kipya na kinachokua kwa kasi cha ACT kinaendelea na ziara ya ujenzi wa chama. Hizi ni picha za mkutano wa Kasulu Kigoma.
Karibuni mtuunge mkono kwa maslahi ya nchi yetu.Njano5
mhh! mbona wamekaa mbali si wanaangalia mpira hawa? maana hata mhutubiaji haonekaniChama kipya na kinachokua kwa kasi cha ACT kinaendelea na ziara ya ujenzi wa chama. Hizi ni picha za mkutano wa Kasulu Kigoma.