Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,286
Kukusanya watu kwenye mkutano ni kufunika?
Fanyeni shughuli za maendeleo walau muwe tofauti na wanaporojo waliowatangulia...
Machadema bwana hayakosi maneno. Juzi mlikuwa mnapiga kelele ohhho chama cha mitandao leo tena unasema mikutano sio issue!
ACT haijawahi na haitawahi kuwa seriousTalk of chama cha ukanda.....hiki ndo chama cha ukanda haswa.
Chama kipo Kigoma tu baaaasiiii.
Umeniwahi mkuu... Hili ndilo swali nililotaka kuuliza na mimi.Bado nafanya utafiti sijapata jibu kwamba ni kwanini wanaCCM walio wengi wanaipenda na kuishangilia sana ACT hasa wafuasi wa CCM mitandaoni!!!!!
Ilikusudiwa kuwa mashine yao ya kupumulia. Wako ICU.Bado nafanya utafiti sijapata jibu kwamba ni kwanini wanaCCM walio wengi wanaipenda na kuishangilia sana ACT hasa wafuasi wa CCM mitandaoni!!!!!
hata adc ilikuwa hivyo hivyo,hiki ni kipindi cha mapumziko kwa wakulima hivyo hawana pa kwenda lazima waje kusikiliza porojo za wasaliti.