ACT Tanzania yaendeleza wimbi la kubomoa ngome za chadema,hapa lushoto Mkoa wa tanga, hii ni baada ya alikuwa mgombea umwenyekiti wa kijiji cha kwembago kurudi act wazalendo. Nimwendelezo wa ACT kukubalika na kuhama ndani ya chadema na vyama visivyo na utetezi wa kweli kwa wananchi. Na pia matusi. Wanachama Zaid wsmechukua kadi na kuamua kurudi kwa wazalendo. Karibuni wananchi wote wapenda mabadiliko.

Act daima.
watu hovyo kama wewe mnazidi kuididimiza act. Sijaona chama makini cha upinzani kinajisifu kumbomoa mwenzake. Tumieni akili hata kidogo. Mtajikuta kaburi moja na tlp
sasa ikibomoa ngome ya chadema inasaidia nini katika kukuza vyama vya upinzan tanzania. Ni kichaa pekee atafurahi kuona upinzan ukibomolewa na makanjanja wa siasa.
Duh!! Hii kalinimarufuku Mtu kutoka CCM kujiunga na ACT?....
nazidi kuamini ACT ni MIMBA YA CCM
Duh!! Hii kali
chadema mnamambo mengi kwani enzi za mrema hata kuku hakufa, wananchi wawaogope kama ukoma
ACT Tanzania yaendeleza wimbi la kubomoa ngome za chadema,hapa lushoto Mkoa wa tanga, hii ni baada ya alikuwa mgombea umwenyekiti wa kijiji cha kwembago kurudi act wazalendo. Nimwendelezo wa ACT kukubalika na kuhama ndani ya chadema na vyama visivyo na utetezi wa kweli kwa wananchi. Na pia matusi. Wanachama Zaid wsmechukua kadi na kuamua kurudi kwa wazalendo. Karibuni wananchi wote wapenda mabadiliko.
Chadema na Act ni kupasuana tu hakuna kuchekeana liwalo naliwe.Hebu mnisaidie mie Neutral enyi wenye ACT yenu
ACT imeanzishwa kwa dhumuni LA kupambana na CHADEMA tu? Siwasikii mkiongelea CUF, TLP, CCM wala vyama vinginevyo
Hebu msaada ili nipate benchmark sahihi kupima mafanikio yenu
ACT Tanzania yaendeleza wimbi la kubomoa ngome za chadema,hapa lushoto Mkoa wa tanga, hii ni baada ya alikuwa mgombea umwenyekiti wa kijiji cha kwembago kurudi act wazalendo. Nimwendelezo wa ACT kukubalika na kuhama ndani ya chadema na vyama visivyo na utetezi wa kweli kwa wananchi. Na pia matusi. Wanachama Zaid wsmechukua kadi na kuamua kurudi kwa wazalendo. Karibuni wananchi wote wapenda mabadiliko.
Sijui mpuuz gn yule