ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 620
- 1,543
Uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Nkome mkoani Geita, Kampeni hizo zimezinduliwa na Mwenyekiti wa Chama mama Anna E. Mghwira, jioni hii ya leo tarehe 31 December 2016. Umekuwa mwanzo mzuri wananchi wa Kata ya Nkome kuhitaji mabadiliko ya kweli na kuhitaji Chama mbadala kwaajili ya maendeleo yao baada ya kuchoka na matumaini hewa ya vyama vya zamani. Wananchi wa Nkome wametuahidi kutupa kura na watakuwa bega kwa bega kumuunga mkono mgombea wetu.