ACT Wazalendo yatia aibu mkutano Muheza

Kyooma

JF-Expert Member
Sep 20, 2013
224
98
Leo kuanzia sa 9 alasiri kijijini mkulumilo wilaya ya muheza mkutano wa act unaendelea watu waliofika ni 32 (nimewahesebu) katibu wa ACT wilaya anasema octoba wanachukua nchi wananchi wajiandae maisha bora ambayo walikua wakiota kuwa nayo

baada ya kuona watu hawaitikii na kuongezeka akamwambia dj aweke disco ili kuvuta watu sasa hivi siyo kuongelea sera tena watu wanasakata rumba

ntazidi kuwajuza mengi zaidi
 
waeasakata rumba kweli laendelee kuelezea sera za chama chake watasikia tu hata wasipokaribia
 
Kyooma

Tunashukuru sana mkuu kwa kutujuza maendeleo ya mkutano wa chama chetu act,kwani hiyo ni hatua kubwa kufikiwa ya kupata watu 32, ndio maana wanasema watachukua nchi hapo october.
 
Last edited by a moderator:
naupload picha zinakataa ila najitaidi niwawekee na picha inavyoendelea
 
haa haa eti wanachukua nchi oktoba. act wakichukua majimbo mawili tu oktoba. nahama nchi.
 
ACT ni wafu.

Sidhani kama hicho chama kitaendelea kuwepo baada ya uchaguzi mkuu.

Duu,alafu nimegundua team act yote kumbe waliazimwa kutoka lumumba,kwani sasa hivi baada ya act kufa wamerudi lumba na wana hasira vibaya.
 
Duh!!! wanatisha.

vyama hivi ccm, act, udp, tlp,na wengine hawana ajenda yoyote ya maana kwa taifa. Ni wapiga kelele tu.ila huwa nashangga kuona eti bado wana wafuasi-hii inaonyesha ni jinsi gani akili za watu wengi bado zero.

Tunahitaji kuamshwa kwanza akili zetu.
 
Leo kuanzia sa 9 alasiri kijijini mkulumilo wilaya ya muheza mkutano wa act unaendelea watu waliofika ni 32 (nimewahesebu) katibu wa ACT wilaya anasema octoba wanachukua nchi wananchi wajiandae maisha bora ambayo walikua wakiota kuwa nayo

baada ya kuona watu hawaitikii na kuongezeka akamwambia dj aweke disco ili kuvuta watu sasa hivi siyo kuongelea sera tena watu wanasakata rumba

ntazidi kuwajuza mengi zaidi
Nimecheka sana, JF!
 
laana ya usaliti ni mbaya sana .

kweli bwana maana hata laana ya usaliti wa doc. Slaa kwa kuihama CCM unamkosesha urais na itaendelea kumuandama na atakufa bila kunusa urais kwa sababu aliisaliti ccm na Kugoma kurudisha kad mpaka leo
 
Kyooma

Mkuu tukukumbushe tu Historia
Zitto Zubeir Kabwe na Halima Mdee wakiwa katika harakati za kuijenga chadema miaka michahe ya Nyuma kuna siku walifika katika mkutano na kukuta watu 10 tu hawakuamini.Lakini hawakukata tamaa,waliamua kutumia trick ya kuwanunulia watu vitu vidogo vidogo katika eneo husika japo kuwavuta wasikilize walichoenda kuwaambia,bado watu hawakuvutika,waliendelea na harakati hawakukata tamaa mpaka wakaja kueleweka,miaka michache baadae eneo lile lile ambalo mwanzo ZZK na Mdee walipata watu kumi alikuja kurudi ZZK watu wakawa wanakanyagana.Kwa hiyo kwa ilipo ACT sasa na ukiangalia historia hilo sio swala la kushangaa but time will tell.
 
Mkuu tafadhali sana usimuhusishe kamanda Mdee na Msali.ti Mkuu.Kama unamtetea msaliti mtetee kivyake
 
Maneno mliyomezeshwa na Mbowe hayafuti ukweli kwamba tukio nililolisema walikuwa ZZK na Mdee na zaidi ya hapo Mdee na ZZK wana Strong Personal relationship nje ya siasa.
 
tetea vyote lakini usimtafutie kichaka cha kumficha msaliti.siku zote amesimama peke yake.na alipoondoka CHADEMA imekufa.sasa vipi tena
 
Maneno mliyomezeshwa na Mbowe hayafuti ukweli kwamba tukio nililolisema walikuwa ZZK na Mdee na zaidi ya hapo Mdee na ZZK wana Strong Personal relationship nje ya siasa.

Sio kama wazalendo hatutaki kuwajibu hao jamaa hao ni viazi yaani hauna wanachojua bora utaumia kichwa tu ivi fikiri mtu mwenye ubongo anaweza fanya alichokiandika huyo.
 
Back
Top Bottom