ACT wazalendo Watanzania wanasubiri tamko lenu!

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,695
1,470
Siyo kawaida yenu kuchelewa kutoka matamko pale taifa linapokuwa na jambo nyeti. Jana ripoti ya pili ya makanikia imekabidhiwa kwa mh Rais, je ni nini maoni yenu kama chama au bado mnatafakari?!
 
Unamaanisha ZZK sio? Naona ametoa madokezo kupitia ukurasa wake wa insta mapendekezo ya kamati inaonekana alishayatoa miaka kadhaa nyuma
 
Credits nyingi ziwaendee Anna mughwira and Zitto kabwe na ACT wazalendo kwa ujumla,kamwe zisiwaendee Chadema wadandiaji wataftaji wa kiki.
 
Nawapongeza ACT wazalendo maana maazimio na mapendekezo waliyotoa wiki mbili zilizopita kwenye kongamano la madini yamekuwa adopted kama yalivyo kwenye ripoti ya Osoro, hii inamaanisha wanakamati nao walikuwepo kwenye kongamano wakifyonza "madini" kimya kimya
 
hahaha
 
Back
Top Bottom