ACT-Wazalendo watafanya Mkutano mkubwa leo Songea

ACT-Wazalendo watafanya Mkutano mkubwa leo Songea

EasyFit

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
1,269
Reaction score
1,082
Wiki iliyopita kulikuwa na matangazo ya chama hiki kuanza kufanya mikutano ya kukitangaza nchi nzima wakianzia Songea leo tarehe 10, lakini kadri siku zilivyokaribia matangazo au hata wahamasishaji siwaoni.

Kwa mwenye taarifa ya maandalizi atufahamishe tafadhali.

Cc Mwl. Kaijage
 
Last edited by a moderator:
Chama cha Alliance for change and Transparency, ACT-Wazalendo, leo siku ya ijumaa kinafanya mkutano wake wa kwanza wa kizalendo katika mji wa Songea, pale pale palipoanzia vuguvugu la kizalendo la kuitetea nchi hii kwenye vita Majimaji.

ACT inaonyesha wazi kwamba nchi hii ili iweze kubadilika lazima turudi kwenye Msingi mkuu wa uasisi wa taifa hili. Uzalendo wa Kinjekitile Ngwale ni wa kutukuka kwani pamoja na kwamba hakuwa na silaha za moto lakini alipambana na wajerumani kwa miaka mitatu kuitetea nchi yake. (1905-1907).

Wazalendo wote wapo Songea kuitetea nchi hii kutoka kwenye mfumo kandamizi dhidi ya wanyonge unayetetewa na chama cha mapinduzi.
 
Wiki iliyopita kulikuwa na matangazo ya chama hiki kuanza kufanya mikutano ya kukitangaza nchi nzima wakianzia Songea leo tarehe 10, lakini kadri siku zilivyokaribia matangazo au hata wahamasishaji siwaoni.

Kwa mwenye taarifa ya maandalizi atufahamishe tafadhali.

Cc Mwl. Kaijage

Mkutano upo kama ulivyopanga na viongozi wote wa kitaifa watakuwepo.Kwa mujibu wa kiongozi wa chama ZZK ameandika FB.
 
Last edited by a moderator:
Chama kinamatamko ya uongo mtupu kila kitu wanaongea uongo wasaliti

swissme
 
Wiki iliyopita kulikuwa na matangazo ya chama hiki kuanza kufanya mikutano ya kukitangaza nchi nzima wakianzia Songea leo tarehe 10, lakini kadri siku zilivyokaribia matangazo au hata wahamasishaji siwaoni.

Kwa mwenye taarifa ya maandalizi atufahamishe tafadhali.

Cc Mwl. Kaijage
lngekuwa CHADEMA saa hizi mji ungekuwa unazizima kwa amsha amsha.
 
Last edited by a moderator:
Leo tunakuletea mkutano wa ACT-WAZALENDO kutoka hapa Songea,, picha na matukio na hotuba za viongozi utazipata hapa,,
Kaa mkao wa kuhabarika.
 
Wiki iliyopita kulikuwa na matangazo ya chama hiki kuanza kufanya mikutano ya kukitangaza nchi nzima wakianzia Songea leo tarehe 10, lakini kadri siku zilivyokaribia matangazo au hata wahamasishaji siwaoni.

Kwa mwenye taarifa ya maandalizi atufahamishe tafadhali.

Cc Mwl. Kaijage
Nenda kaulizie kwenye Ofisi za CCM zilizo karibu na wewe
 
Mwl kaijage unamoyo mgumu kweli yaani unasumbuka na lichama ambalo litakuwa na lifespan fupi/
 
Chezea ayatolah wew jamaa anajiona mungu mtu yani hata asipotangaza watu wataenda tu ha ha ha aseeh ni heri ujinga husio na hasara kuliko elimu isiyovna faida
 
Back
Top Bottom