ACT Wazalendo wanapokea Wanachama Wapya muda huu

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
434
Reaction score
590
Fuatilia hapa Hafla ya Kupokea Wanachama Wapya wa Vyuo Vikuu wa chama cha siasa cha ACT-Wazalendo, leo Juni 14, 2026, inayofanyika katika Jengo la Maalim Seif, Magomeni, Dar es Salaam.

Viongozi Wakuu: Ado Shaibu (Katibu Mkuu) na Abdul Nondo (Mwenyekiti Ngome ya Vijana Taifa).

 
Ukifuatilia utakuta wanapokea vijana waislam wa vyuo mbalimbali ndio 98%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…