Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,711
- 149,960
Kama sikosei,ACT-Wazalendo ni moja ya vyama vilivyoungana na CUF kupinga uchaguzi wa marudio huko Zanzibar ila leo hii wameibuka na kutangaza kumtambua Dr.Shein.Habari hii nimeona katika taarifa ya habari ya Channel 10 asubuhi ya leo.
Sasa wadau, hawa jamaa wanasimamia nini?Mbona hawaeleweki?Huu ni uzalendo au usaliti?
Swali la mwisho na la msingi:
Walioto kauli hii wana baraka za chama?
Sasa wadau, hawa jamaa wanasimamia nini?Mbona hawaeleweki?Huu ni uzalendo au usaliti?
Swali la mwisho na la msingi:
Walioto kauli hii wana baraka za chama?